Wednesday, July 23, 2014
image image image image image
VIONGOZI WA KITAIFA WATEMBELEA BANDA LA NSSF KWENYE MAONESHO YA 38 YA SABASABA. Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) , Julius Nyamuhokya kuhusu Mradi wa ujenzi wa nyumba zaidi ya 7000 katika eneo la Dege Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Waliokaa kulia kwa Raisi ni Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Abdallah Kigoda na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF ,Abubakar Rajabu.
NSSF opens up to Tanzanians in Diaspora NSSF Chief, Public Relations and Customers Service, Ms Eunice Chiume talking to the media on the Diaspora scheme WESTADI at DITF grounds.   National Social Security Fund (NSSF) has called upon Tanzanians living abroad to register in the 2011 established Welfare Scheme for Tanzanians in Diaspora (WESTADI) The Scheme inaugurated by H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania during the 50 years anniversary of  Independence in Maryland, USA.
NSSF YAIBUKA KIDEDEA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII NA BIMA KWENYE MAONESHO YA 38 YA SABASABA Kaimu Mkurugenzi mkuu Bw.Cresentius Magori akipokea kikombe cha Ushindi toka kwa Mgeni Rasmi Mh.Balozi SeifA Ali Iddi,Makamu wa pili wa Raisi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
NSSF YAENDESHA KAMBI ZA UPIMAJI WA AFYA KANDA YA ZIWA Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), litaendesha  kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na  kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa ujumla waweze kujenga  tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kujiwekea mfumo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa sugu yasiyoambukiza.
RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MPANGO WA NSSF WA WAKULIMA SCHEME NA MADINI SCHEME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amezindua rasmi mpango wa NSSF wa Wakulima Scheme na Madini Scheme. Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC jijini Arusha wakati wa mkutano wa nne wa wadau ulioambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF. Mkutano ulifanyika kuanzia tarehe 13-15 Mei 2014.

National Social Security Fund

The Board of Trustees of the National Social Security Fund was established under the National Social Security Fund (NSSF) Establishment Act 28 of 1997 Read More

nssf10-small Our Mission

The Fund is committed to promptly meet members’ evolving social security needs using competent.....
Read More

nssf11-small Our Vision

The Fund envisions becoming a leading provider of social security services in Africa......
Read More

nssf12-small Our Values

"The Fund will provide services to its members and the general public on the basis of.....".
Read More

Facts and Figures

Funds networth in 2013: Tshs. 2.24 Trillion

The funds networth increased from Tshs 1.97 Trillion in 2011/2012 to Tshs 2.24 Trillion in 2012/2013

Benefits paid in 2013: Tshs. 228Billion

The total benefits payment increased from Tshs 178 Billion in 2011/2012 to Tshs 228 Billion in 2012/2013

 

Latest News

Newsletters

Our Latest Newsletterfor the period Jan 2013 to June 2013 is now available for download

Download our Newsletter Today

Member Access

WESTADI Registration

Tanzanians in the Diaspora can now register with the above scheme...

Register

Member Statements

Members can now request for and access their Online Statements...

Login

Complaints

Members can lodge their complaints by signing in below

Login