Wednesday, June 19, 2013
image image image image image
NSSF MEDIA ALL STARS YAISAMBARATISHA BUNGE MJINI DODOMA Nahodha wa timu NSSF Media All Stars kwa upande wa timu ya mpira wa miguu, Majuto Omari akionyesha Kombe baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dkt. Ramadhani K. Dau baada ya kuifunga timu ya Bunge Sports.
NSSF YANG'ARA MAONYESHO YA BIASHARA TANGA
Bi. Eunice Chiume, Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja akikabidhiwa kikombe cha ushindi wa kwanza katika kundi la utoaji huduma kwa Jamii kutoka kwa Mhe. Abdallah Kigoda, Waziri wa Viwanda na Biashara katika maonyesho ya kibiashara ya kimataifa ya mjini Tanga.
MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA NSSF DODOMA Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akisoma Mwongozo wa Utendaji wa NSSF alipotembelea banda la NSSF kwenye maonyesho ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii - Mjini Dodoma, yalioandaliwa na mamlaka ya udhibiti ya Hifadhi ya Jamii
NSSF QUEENS YAKABIDHIWA NGAO YA USHINDI Nahodha wa Timu ya NSSF Queens, Pili Mogela akimkabidhi Ngao ya Ubingwa wa Tamasha la Pasaka Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Bi Eunice Chiume baada ya kuifunga ZSSF Magoli 35-29 katika mchezo uliofanyika katika viwanja vya Gmykana mjini Zanzibar, katikati Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bwana Crescentius Magori na Meneja wa Mipango na Uwekezaji wa NSSF, Bwana Abdallah Mseli
NSSF YASHIRIKI MICHUANO YA BONANZA LA PASAKA Mkurugenzi wa Kurugenzi  ya Utumishi na Utawala ya NSSF, Bi. Chiku Matessa akisalimiana na wachezaji wa timu ya NSSF wakati wa Bonanza la Pasaka kwenye Viwanja vya Amani Mjini Unguja.

National Social Security Fund

The Board of Trustees of the National Social Security Fund was established under the National Social Security Fund (NSSF) Establishment Act 28 of 1997 Read More

nssf10-small Our Mission

The Fund is committed to promptly meet members’ evolving social security needs using competent.....
Read More

nssf11-small Our Vision

The Fund envisions becoming a leading provider of social security services in Africa......
Read More

nssf12-small Our Values

"The Fund will provide services to its members and the general public on the basis of.....".
Read More

Facts and Figures

Benefits paid in 2008: Tshs. 81 Billion

The total benefits payment increased from Tshs 50 Billion in 2006/2007 to Tshs 81 Billion in 2007/2008 . Read More

Latest News

Newsletters

Our Latest Newsletterfor the period Jan 2011 to June 2011 is now available for download

Download our Newsletter Today

Member Access

WESTADI Registration

Tanzanians in the Diaspora can now register with the above scheme...

Register

Member Statements

Members can now request for and access their Online Statements...

Login

Complaints

Members can lodge their complaints by signing in below

Login