News Archive

Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Bathlow Mmuni akizungumza katika Mkutano wa Maofisa Rasilimali Watu wa Makampuni na Taasisi mbalimbali
uliofanyika tarehe 14 Januari 2017 mjini Morogoro na kuandaliwa na NSSF.
Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali watu NSSF , Dominic Mbwette na Kaimu Mkurugenzi wa Fedha NSSF, Alfonce Tikyeba.

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha NSSF, Alfonce Tikyeba akizungumza katika mkutano huo.

Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali watu NSSF , Dominic Mbwette akizungumza katika mkutano huo.

Maofisa Rasilimali Watu wa Makampuni na Taasisi mbalimbali wakifatilia kwa makini mkutano huo ulionadaliwa na NSSF.

Picha ya pamoja

 

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4