News Archive

IMG 20180704 WA0021

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii limeibuka mshindi wa jumla katika maonyesho ya 42 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam maarufu kama sabasaba.Maonyesho hayo yalianza tarehe 28 June na kufunguliwa rasmi na Mh. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa siku ya tarehe 4 Julai 2018.Katika uzinduzi huo NSSF iliibuka kinara na kunyakua kombe la mshindi wa jumla.

IMG 20180704 WA0022

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkurugenzi Mkuu, Mamalaka ya Maendeleo ya Biashara  Tanzania (Tan Trade), Edwin Rutaberuka (kushoto)  wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara, Tuzo ya Ushindi wa Jumla.

IMG 20180704 WA0016

Wafanyakazi wa NSSF katika picha ya pamoja baada ya kupata tuzo ya ushindi wa jumla.

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4