Benefits
Social Health Insurance

Mafao haya hutolewa kwa mwanachama na wategemezi wake wasiozidi wanne wenye umri usiozidi miaka 18 au 21 ikiwa wako shule.
Lengo la mafao ya matibabu
- Mwanachama awe amechangia angalau michango ya miezi mitatu karibu na kupata huduma za matibabu.
- Makato ya 6% ya pensheni kwa wastaafu watakaotaka kupata huduma za matibabu baada ya uzee.
Sifa zinazotakiwa
- Mwanachama awe amechangia angalau michango ya miezi mitatu karibu nahuduma yakupata matibabu
- Makato ya 6% ya pensheni kwa wastaafu watakaotaka kupata huduma za matibabu baada ya uzee
Mipaka Mafao ya Matibabu
Katika kutoahuduma zamatibabu chini ya mafao ya matibabu,shirika imeweka mipakaifuatayo:
- Kulazwa kwasiku 42 kwamwakakwa familia
- Matibabu ya dharura nje ya vituo/ hospitali waliojiandikisha wanachamawanaosafiri kikazi si Zaidi ya maranne kwa mwaka kwa wagonjwa wa nje na si zaidi ya masaa 48 mara mbili kwa mwaka kwa wagonjwa wanaolazwa
Ukomo wa Huduma za Matibabu
Huduma za matibabu katika mpango huu zinaweza kusitishwa mara moja kutokana na mambo yafuatayo;
- Kifo cha mwanachama
- Kuachishwa au kuacha kazi
- Uzee kwa umri
- Kutowasilishwa kwa michango kwa zaidi ya kipindi cha miezi mitatu
- Kufikia umri wa zaidi ya miaka 18 au 21 kwa Watoto