Taarifa Za Michango
Kusajili
Tuma neno sajili, acha nafasi, weka namba yako ya uanachama, Tuma kwenda namba 15747
Kupata Taarifa
Tuma neno taarifa kwenda number 15747
Kujua Salio
Tuma neno salio kwenda namba 15747
Malipo Ya Michango Kupitia M-PESA
- Fungua M-PESA Menu *150*00
- Lipa kwa M-PESA
- Chagua kwenye orodha
- Nenda zaidi
- Chagua Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
- Chagua NSSF
- Ingiza namba ya NSSF*mwezi wa mchango*mwaka (mfano 5899003*05*2014) kisha OK- huu ni mchango wa mwezi wa 5
- Itakutaka uweke kiwango
- Endapo unalipa mchango wa zaidi ya mwezi mmoja itakulazimu urudie taratibu zote kwa kila mwezi na uutaje mwezi husikakama ilivyo hapo juu