News Archive

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakijiandaa kushiriki mbio za Tulia Marathon zilizofanyika jijini Mbeya na Kudhaminiwa na NSSF.

 

Naibu Spika Dk. Tulia Ackson akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Menja Masoko na Uhusino, Salim Kimaro (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa NSSF Mkoa wa Mbeya, William Lutambi (wa kwanza kulia) na wadau wengine baada ya kumalizika kwa mbio za Tulia Marathon zilizoratibiwa na Taasisi ya Tulia Trust kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Kaimu Menja wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro akizungumza wakati wa mbio za Tulia Marathon zilizofanyika jijini Mbeya na kadhaminiwa na NSSF. Kushoto ni Naibu Spika Dk. Tulia Ackson.Kaimu Menja wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro akizungumza wakati wa mbio za Tulia Marathon zilizofanyika jijini Mbeya na kadhaminiwa na NSSF. Kushoto ni Naibu Spika Dk. Tulia Ackson.

 

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4