Mpendwa Mteja,


Unafahamishwa kuwa ukurasa wa Huduma kwa wateja umebadilishwa na kuboreshwa.

Maulizo/Malalamiko yote ya awali yanafanyiwa kazi na yatajibiwa kupitia taarifa za mawasiliano mlizotoa ikiwemo barua pepe. Tafadhali unaombwa ujisajili upya kwenye huu ukurasa wa Huduma kwa wateja ili uweze kutuma maulizo/ malalamiko yako.

Bofya Hapa kwenda kwenye ukurasa wa Huduma kwa Wateja

Ahsante.

 

 

Dear Customer

We have migrated our customer service portal to the new website.

All previously submitted queries using the old web portal will be responded to using your provided contacts and emails. You are required to register afresh in this new customer portal that is more user friendly to submit new queries / complaints.

Press Here to go to Customer Portal page

Thank You.

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4