Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bengi Issa (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau wakitia saini hati ya mkataba wa utekelezaji wa program ya NSSF Bodabora katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka kushoto),  ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Uwezeshaji wa NEEC, Edwin Chrisant, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Omari Issah, Mwenyekiti wa Dar es Salaam Bodaboda Saccos (DABOSA), Saidy Kagomba na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori.

 

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bengi Issa (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau wakibadilishana hati baada ya kutiliana saini mkataba wa utekelezaji wa programu ya NSSF BodaBora katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Omari Issah (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa Dar es Salaam Bodaboda Saccos (DABOSA), Saidy Kagomba.

Login Form1