emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

NSSF YAPATA TUZO KATIKA MAONESHO YA TANO YA MIFUKO YA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI


Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umepata Tuzo ya Taasisi za Serikali zilizofanya vizuri katika Maonesho ya Tano ya Mifuko ya Programu za Uwezeshaji Wananchii Kiuchumi. Tuzo hiyo imedhihirisha jinsi NSSF ilivyofanikiwa kuwafikia baadhi ua wananchi wa Mkoa wa Morogoro pamoja na mikoa jirani. Ahadi ya NSSF ni kuendelea kufanya vizuri katika kuifikia sekta binafsi na sekta isiyo rasmi, ambapo kupitia Moanesho hayo Mfuko ulifanikiwa kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wanachama, kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa sekta isiyo rasmi, kuandikisha wanachama pamoja na elimu jinsi ya kutumia mifumo mbalimbali ya TEHAMA ya NSSF bila kulazimika kufika katika Ofisi za Mfuko.

Tanzania Census 2022