Friday, March 27, 2015
image image image image image
SPIKA WA BUNGE ATEMBELEA MIRADI YA NSSF KIGAMBONI. Spika wa Bunge la Tanzania Mh.Anna Makinda ametembelea Daraja la kigamboni, Mradi wa Nyumba za bei nafuu Kijichi na Mradi wa Nyumba za kijiji cha Dege.
NSSF YASHIRIKI KILIMANJARO MARATHON Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki mbio za Kilimanjaro Marathoni wakiwa Kama Wadhamini wa Mbio fupi za Kilometa Tano(5). Ambazo zilihusisha washiriki zaidi ya elfu tatu mia tano.
NSSF - REAL MADRID SPORTS ACADEMY YAANZA USAJILI WA VIJANA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania, limezindua rasmi mchakato wa usajili wa vijana walio na umri wa chini ya miaka 14 watakaofanyiwa majaribio kwa ajili ya kujiunga na kituo cha michezo cha NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amezindua jengo la kibiashara la KILIMANJARO COMMERCIAL COMPLEX Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amezindua rasmi jengo la kitega uchumi mjini moshi. Mradi huu ni wa ubia kati ya NSSF, Tanzania Red Cross (TRCS), UMATI na Tanzania Girl Guides Association (TGGA).
DAR ES SALAAM! JIUNGE NA MABINGWA Kama wewe au mtu yeyote karibu yako ni mkali wa soka, unaishi Dar es Salaam na una umri chini ya miaka 14 karibu katika viwanja vya Karume kujiandikisha kujiunga na NSSF – Real Madrid Academy JUMAMOSI NA JUMAPILI TAREHE 14-15 FEBRUARI NA 21-22 FEBRUARI KUANZIA SAA 1 ASUBUHI HADI 9 MCHANA

National Social Security Fund

The Board of Trustees of the National Social Security Fund was established under the National Social Security Fund (NSSF) Establishment Act 28 of 1997 Read More

nssf10-small Our Mission

The Fund is committed to promptly meet members’ evolving social security needs using competent.....
Read More

nssf11-small Our Vision

The Fund envisions becoming a leading provider of social security services in Africa......
Read More

nssf12-small Our Values

"The Fund will provide services to its members and the general public on the basis of.....".
Read More

Facts and Figures

Funds networth in 2013: Tshs. 2.24 Trillion

The funds networth increased from Tshs 1.97 Trillion in 2011/2012 to Tshs 2.24 Trillion in 2012/2013

Benefits paid in 2013: Tshs. 228Billion

The total benefits payment increased from Tshs 178 Billion in 2011/2012 to Tshs 228 Billion in 2012/2013

 

Latest News

Newsletters

Our Latest Newsletterfor the period Jan 2013 to June 2013 is now available for download

Download our Newsletter Today

Member Access

WESTADI Registration

Tanzanians in the Diaspora can now register with the above scheme...

Register

Member Statements

Members can now request for and access their Online Statements...

Login

Complaints

Members can lodge their complaints by signing in below

Login